Sunday 30 September 2012

BOAT CRUISINE NYUMBANI KWETU ANNIVERSARY PARTY IN UK

                 MAZA HOUSE MWENYEWE
                      RELAX MBAYA
                               HAPPY TOTO GUU GUU
                                  GILE MA LOVELY GAL
                           MTOTO INYE MASHALLAH
                                    DOROTHY HEHEHE MTOTO WEE
                              WATU NA MAINYE YAO
HAWA NDO WADADA WALIOIWAKILISHA NK UK
                                  HII NDO LOGO YA HIYO TISHET TULOZIVAA
                         HAPA NDO SEHEMU YA KRUISINE YENYEWE IPO READING IN CAVERSHAM SO AWESOME U CAN JUST SEE IT FROM THE VIEW
                                  WAREMBO
GILE,HAPPY,DOROTHY
                              HII NDO BOAT TULOPANDA "PRINCESS MARINA" ITS A PRIVATE HIRE BOAT IN CAVERSHAM WE HIRED IT FOR ONE AND A HALF HOUR
                                      MAJINI
                                  NO COMMENT
                                               MAZA HOUSE KWENYE POZI
                                NIKIIONA PICHA A HAPPY NAWAZA NYEEE TU HAHHAHAH
                                     WACHA WEE
                                      YALLAH

nyumbani kwetu is a group that was formed one year a go by a princess called Gloria. the aim of the group was to Educate,to help and bring awareness to all women across the world. through nyumbani kwetu group most of women have recognised the importance of them being  part of the society and the roles they play as a mother, a wife and soo on. nyumbani kwetu blog was opened to explore what nyumbani kwetu group is doing and what is all about. many more to come IN GOD WE TRUST

Friday 28 September 2012

HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY NYUMBANI KWETU GROUP & BLOG MUCH LOVE (WANAWAKE TUNAWEZA)


NYUMBANI KWETU BLOG & GROUP CELEBRATING ONE-YEAR ANNIVERSARY PARTY THIS SAT 29TH SEPT @9JA BAR,XPERIENCE RED CARPET THE SPOTLIGHT ISN'T ON THE MODEL ITS ON HER AMAZING OUTFIT & SHOES SEE YOU THERE ♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣

VENUE
★♣♣♣♣♣♣♣♣
9JA WINE BAR
...
OPP THE HEXAGON READING
RG1 7QF


THIS PARTY EVERY ONE IS INVITED

►►FINEST DJS Richie Dee/Dj SkyFix/Dj Gich & Special Guest djs

►►Music Policy:

Bongoflava,Genge,Naija,Lingala,zouk,hiplife,Rnb,Bashment+many More

►►Dress Code: Smart Causal,Classy Attire or Traditional Wear
►►Time: 10.00pm till 3.00am
AT 9JA BAR READING RG1 7QF
♣♣♣♣♣♣♣♣ ★♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣ ★♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣♣

NEWS ALERT: JESTINA GEORGE BLOG NOMINATED FOR BLOG OF THE YEAR BEFFTA AWARDS 2012...!!!

JESTINA GEORGE
 
Jestina-George.Com has been nominated for Blog of the Year at the Black Entertainment Film Fashion Television and Arts Awards (BEFFTA)UK 2012.
The press and nominees announcement launched in a star-studded event in Mayfair, London hosted by the legendary fashion designer Adebayo Jones. Among the press in attendance were BBC’s Julius Mbaluto, Sixoone Media’s David Mbiyu, New African Woman Magazine editor Regina Jere-Malanda and more. BEFFTA entertainment icon and founder of Sutara Performing Arts academy Lorna Sutara Gayle was also among the special guests on the night.
BEFFTA UK 2012 online voting will begin on Sunday 7th October and end on Sunday 21st October.
The main award ceremony will take place 27th October.
I would like to thank you all for the endless love & support through my blogging years and let's continue supporting each other.
Much love & God bless.
Jestina George
Owner & Founder

Wednesday 26 September 2012

LINAWACHOMAAAAAAA-MZEE YUSUF

Dongeee, dongeee hiloooooo mzee yusuf kamalizaa aisee hhhahhahahh wivu wa maendeleo ndo unafaa ila wivu usokuwa na kichwa wala miguu tupa kulee i love taarab some times maneno huwa yananikoshaaaa

Tuesday 25 September 2012

Happy anniversary Elizabeth and Hubby

                                          Baba na mama Michelle.....










                        Eliza and her daughter Michelle 
May God bless you and your love and you have a happy married life as always. Happy Anniversary.

Happy Anniversary to you Mr&Mrs Garner

Violet and her hubby Paul













                                Violet, Paul and their baby Hope.
May today be filled with happy memories of the past and bright hopes for the future. Happy Anniversary

Monday 24 September 2012

Wajua kama viazi mbatata ni dawa?

 Viazi mbatata (potatoes) ni maarufu sana katika mapishi mbalimbali ikiwemo kama kiuongo katika mboga, mapishi ya chips , mashed potatoes nk. Mbali na matumizi hayo, viazi huweza kutumika kama dawa ya kikohozi na tonsils. 
Vioshe na chemsha viazi na maganda yake mpaka viive vizuri hakikisha maji hayaishi.Vikishaiva vikiwa na maji yake chukua blangeti, jifunike na ujifukize mvuke unaotoka kwenye maji yenye viazi. Vuta pumzi na kuitoa ukiwa umeinamia viazi kwa muda wa dakika 5-10. Fanya hivyo mara kwa mara mpaka utakapopata nafuu kabisa. 

Friday 21 September 2012

DIAMOND AKANUSHA VIKALI KUWA HANA DEMU MPYA...ASEMA WAKE WOTE MNAMJUAAA

Dah! kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi ndani yake... dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU ANAMJUA.....BOFYA HAPA KWA MORE HABARI

 

Thursday 20 September 2012

EBU NA WEWE JIONEE DIAMOND ALIVYOVULIWA SOKSI NA VITU HUKOO FIESTA DODOMA

Haaaa nimejikuta nimecheka kwa sauti nlipoona diamond kakaa kuwapa machizi hi huku anaimba hahha wakakimbilia kuchukua viatu na soksi hehehe no usharobaro dododma 

Sunday 16 September 2012

JUDGES OF AMERICAN IDOL 2012

Quite the entourage: Nicki turned up with bodyguards in tow
                      NICKY MINAJ
Too hot to handle: The blonde fanned herself off in the city heat
                             MARIAH CAREY

Keeping it casual: Keith Urban and Randy Jakcson
RANDY JACKSON
Keeping it casual: Keith Urban and Randy Jakcson
 
KEITH URBAN
 
sasa basi kwa wale wafatiliaji wa American idol this is going to be massive fun maana mariah carey na nicky minaj ndani ya nyumba yani kilivyo kama katuni just cant wait for the audience reaction stay tune and enjoy,, braaaaap

Friday 14 September 2012

MAPACHA WA KIKE KUOLEWA NA MAPACHA WA KIUME


                                          HAWA NDO MAPACHA WA KIKE
MAPACHA WA KIUME NA WAKE ZAO
                                    AWWW!!!! SWEET





PARTY HARRRRRD WITH BONGO DEEJAYS EVERY FRIDAY AND SATURDAY AFRO CARRIBEAN IN READING NI BATA TU HAPA


Tuesday 11 September 2012

Naomi Campbell katika picha za hivi karibuni





Naomi Campell ndie anayepamba matangazo ya duka la PINKO kwenye nguo zake za fall/winter 2012-2013. Imebidi atafutie pozi la kuficha nywele zake za mbele zilizomkatika. Miaka 42 but she is still  hot.....

Monday 10 September 2012

RIHANNA AKIPERFORM KWENYE PARALYMPIC GAMES 2012

Making an entrance: Rihanna 'sails' past the Paralympic athletes on a punk pirate ship as she performs at the Closing Ceremony
            RI-RI doing her thing
'Special guest of Coldplay': Rihanna joined Chris Martin on stage halfway through the song

                    with cold play
Don't look down! Rihanna was suspended in the air on a metal bench as she sang her own hit We Found Love
                         talented
Turn up the music: The first part of Rihanna's duet with Coldplay was drowned out by the music and Chris's vocals
                                                  awesome

Bow to your princess: Chris throws himself into the song during a passionate moment
                              para-para...paradise
Keeping her cool: Rihanna spiced things up in a sheer top, black bra and reflective shorts
                             the outfit just awesome
Let's rock this joint: Jay-Z, Rihanna and Coldplay performed Run This Town

havin fun while jigga is performing

 

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet