Friday, 30 December 2011
tunasikitika kutangaza kifo cha mzee NGAHYOMA kilichotokea leo asubuhi nyumbani kwake tabata mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN.....pole sana glory mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Published :
07:20
Author :
nyumbani kwetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
ReplyDeletepole sana mpendwa mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu,tupo pamoja
ReplyDeletepole sana mpenzi.RIP dady
ReplyDeletePole sana Glorie, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa na bwana ametwaa
ReplyDeletepole mpendwa,r.i.p dady
ReplyDeletePOLE SANA GLORY
ReplyDelete