Thursday 26 January 2012

JAMANI MNAONA NGUO HIYO INA UZITO WA KILO 50 NDO IMEZINDULIWA JUZI NA DESIGNER STEPHANE ROLLAND ilibidi ashikiliwa na wakaka wawili manake c mchezo kudadadekiiiiiii

                                    hizo metals hapo  mbele ndo zilizoongeza kilo na hiyo peacock tail
                                         ila zuri kusema na ukwel
                                  hivi mtu 80 na unaongezewa kilo 50 za gauni  sijui huo uzito utakuaje??? inachoshajeeee

1 comments:

  1. mhhh sasa nguo hii inavaliwa kwenye occassion gani?? maana kilo 50 si mchezo,

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet