Kikosi cha Twiga Stars......So proud of these women..Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Twiga Stars.
Imefika wakati serikali yetu izidi kuboresha soka kwa wanawake nchini mwetu. kwa maana ni ukweli kwamba hii timu inatuwakilisha vyema na kuipa sifa nchi yetu.
Picha asante issamichuzi.blogspot.com
hao ni wadada? mbona kama wakaka? hongereni though
ReplyDeleteHongereni Twiga star, mmetuletea sifa kwa nchi yetu, Mungu awazidishie
ReplyDelete