Thursday, 2 February 2012

**EXCLUSIVE **:”Ur not gonna believe this” Simon Cowell Is ready to offer big cash 2 BEYONCE 2 be a Judge On X-Factor .


Move over Oprah, beyonce  anaweza akawa wealthiest entertainer duniani but hii ni kama atakubali offer kutoka kwa simon cowell ambaye amasema yupo tayari kumoffa kiasi cha $500M sawa na 750billions kwa tshs.
                     
Hatua hii imekuja baada ya Jennifer Lopez kuchukua deal la ku host American Idol na simon akasema ilikuivutia show na kuleta upinzani anahitaji mtu ambaye ni hot kwa sasa na akasema yupo tayari kumpa hicho kitita beyonce coz she is hot now .

                    
 OMG…Mama blue ivy U betta take It……Kweli ukiwa nacho utaongezewa!!!!!!!

2nd Exclusive : BEYONCE hired 6 nannies to 
take care of her baby blue “24 hours”.ishhh!! 

Ikiwa mtoto wa beyonce & Jigga anaelekea kutimiza mwezi 
inasemakana mama  mtoto ameamua kuajiri walezi 6 wa mtoto  
wake Blue Ivy Carter , ambao watakuwa  wanapokezana in 
24hrs,mwenyewe beyonce amesema anataka ku make sure her 
daughter has the best of care. 
This is too much kwakweli!!!!!!

                            





3 comments:

  1. some pipoz wanapesa za mchezo...

    ReplyDelete
  2. natamani hadi ningekua beyonce maana hayo ma offer si mchezo

    ReplyDelete
  3. Lilia bahati ......!!!!

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet