Tuesday, 21 February 2012

Kutongoza kazi eehhh?

"My jollof rice eh, how u dey do today (baby boo) My tomato Jos o, I don dey think about you" 
si maneno yangu haya jamani, ni  lyrics za wimbo wa  Flavour Nabania  'Oyi' (I dey catch cold)
"Kibongo bongo ndio umuite pilau  and kwenye tomato juice we muite juice ya ukwaju" lol.
     kama ni mpenzi wa Naija fleva lazima utakua unamkumbuka       kwenye wimbo wake wa Ashawo.

1 comments:

  1. wafanya mchezo na mahesabu ya kutongoza usiombe

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet