Saturday, 11 February 2012

maimartha wa jesse afunga pingu ya maisha.......

                              maimartha wa jesse
                                                maimatha na mjuba wake
                              alipendezajeeee????
                                 flower gals
             performance from malkia wa mipasho khadija kopa
mama shughuli aka maimartha wa jesse hatimaye kafunga pingu za maisha. maimartha ni mtangazaji maarufu  ktk TBC televisheni ya taifa amefunga ndoa iliyofuatia na tafrija kubwa katika kumbi ya diamond jubilee  we wish u luck katika maisha yako mapya

1 comments:

  1. hehehehe haatimaye tunamtakia maisha mema

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet