Monday 12 March 2012

Breast firming machine; mtambo wa kuinua matiti

                                                  mambo hayoooo
                 kitu kikitoka hapo kishakua saa 6 chezea
hilo ndo jimashine lol
baada ya zoezi la kuongeza matako nchini tanzania kutawala na kuhusudiwa sana na wadada mbalimbali wa mujini  sasa  kuna mashine mpya zilizoingizwa na wachina za kusimamisha maziwa ya kina dada au kina mama.  zoezi hilo linafanyika katika saloon tofauti tofauti jijini dar-es-salaam na limetokea kupata wateja lukuki na kuonesha kulifurahia.. hahah milki iz standing ndo mpango mzima...kuwa  ndala inahuuuuuu????

5 comments:

  1. hahhahahah hilo ze nyonyo nilizani dushelele linatishaaa

    ReplyDelete
  2. Tunauwana live aki ya mungu bora nibaki na lapa langu

    ReplyDelete
  3. mweeeeh hili langu nadhani litafika mpaka miguuni, mchina hanipati ngo'ooooooooooo!

    ReplyDelete
  4. kaz kweli2 watu wanataka kuwa mabint sio

    ReplyDelete
  5. mh! mungu tunusuru na majanga haya maana tunakoelekea ni kubaya, acha tu mie langu liwe hata mpaka mgongoni lol!

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet