Tuesday 17 April 2012

Duuuh! I slept with over 500 women

Mario Falcone ametangaza katika kipindi chake cha miaka 24 amefanikiwa kutembea na wanawake zaidi ya 500,Can u imagine? More than 500 women? Ishhhhh.... Mario Falcone is the Italian-English Tailor na pia ni star wa show ya TOWIE " The Only Way Is Essex ".

Mario Falcone akiwa kwenye pozi jingine la Now Magazine, Amesema pia moja record ambazo aliwahi ziweka katika maisha yake nikulala na wasichana 5 kwa usiku mmoja...Pia ni rafiki mkubwa wa mchezaji wa Man City Mario Balotelli. Dunia Ina mambo Jamani.

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet