Friday 13 April 2012

Mario Balotelli na swaga zake za kitaa

Balotelli  ni mchezaji wa Manchester City ambae analipwa Euro 125,000 ambayo ni sawa na 260.6m tshs  kwa wiki. Mchezaji huyu wa Man City anaongoza kwa vituko nchini Uingereza.
 Moja kati ya vituko vyake vilivyonifurahisha ni kuwa,"jamaa anasifa ya kufunga bar, akiingia bar  analipia watu wote vinywaji wanywe wafurahi 
Hii ndio gari yake, anapark popote tu ilimradi watu wajue kua yuko maeneo hayo...kashapigwa fine mara kibao kwa makosa ya barabarani.Inadaiwa kuwa anaweza kusimamisha gari sehemu yeyote na kuanza kuwapa watu pesa tu hata kama hawajui, au Kununua coffee.
  Hili ndio jumba lake analomiliki..the dude is just 21!!
Huyu ndie Girlfriend wake,Raffaella Fico; wako pamoja zaidi ya mwaka.Balotelli  amekua na scandales za kua na mahusiano na wanawake wengine mara kwa mara, ila guess what the girlfriend said alipohojiwa!!? ‘He always comes back to me,’ anajiaminije sasa.
  Magazeti ya udaku ya Uingereza yamekua yakimuandama mara kwa mara kutokana na life style yake. Wanadai kua analipwa mshahara mkubwa sana, so hajui hata hizo pesa azifanyie nini.  Aliwahi kuingia cafe akatoa noti ya euro 50 kununua sandwich. Huyu jamaa angekua bongo pangekua hapatoshi.Kina "Matonya" wote maisha yangekua kwenye mstari..

2 comments:

  1. eti huyo mwanamke hajali ukimwi unamwita aisee

    ReplyDelete
  2. he is one of fav.player in England......the guy knows how to play with the crowd.

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet