Mmoja wa matajiri wanaojulikana uingereza na marekani simon cowel anaemiliki xfactor uk and us amecancel ingagement yake na binti wa kiafghan na pia make-up artist Mezhgan hussainy kwa kukili anaona sio mwanamke anaezani atamfaa katika maisha yake.mezhgan amekua akikasirika kwa ubusy na urafiki wa karibu wa simon na vibinti vya mujini kwa madai ni urafiki wa kazi hata hivyo simon amemkabidhi binti huyo nyumba yenye gharama ya pound mil 5 iliyopo mji mkuu wa marekani beverly hills. kama si raha ni nini hiyo wapigwa kibuti lakini wachekelea sio wapigwa kibuti na madharau kedekede inahuuuuuu!!!!!!
Monday, 16 April 2012
SIMON COWELL CANCELLED ENGAGEMENT WITH GIRLFRIEND MEZHGAN BUT LET HER KEEP £5 MIL HOME
Published :
11:16
Author :
nyumbani kwetu
Mmoja wa matajiri wanaojulikana uingereza na marekani simon cowel anaemiliki xfactor uk and us amecancel ingagement yake na binti wa kiafghan na pia make-up artist Mezhgan hussainy kwa kukili anaona sio mwanamke anaezani atamfaa katika maisha yake.mezhgan amekua akikasirika kwa ubusy na urafiki wa karibu wa simon na vibinti vya mujini kwa madai ni urafiki wa kazi hata hivyo simon amemkabidhi binti huyo nyumba yenye gharama ya pound mil 5 iliyopo mji mkuu wa marekani beverly hills. kama si raha ni nini hiyo wapigwa kibuti lakini wachekelea sio wapigwa kibuti na madharau kedekede inahuuuuuu!!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
steakers shop on line
Wazoefu Computer Technology
Search This Blog
Followers
Archive
69records
My Blog List
Blogroll
Popular Posts
-
Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa masty...
-
One of the couples ninazozikubali sana Bongo....They dress and look like real celebrities. Hata wakisimama kwenye Red carpet unakubali tu...
yaan hata huwa hawajui wanataka nn katika maisha yao lakin kuachiwa mjengo simuchezo kwakweli
ReplyDeletendo unaambiwa lilia bahati!
ReplyDelete