Thursday 3 May 2012

AJALI MBAYA




Imetokea ajali mbaya ya basi iliyohusisha basi la NBC lililokua likitokea Tabora kuelekea  Arusha. chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni kuchomoka kwa tairi la mbele la basi hilo  na kusababisha kukosa mwelekeo na kutoka nje ya barabara  na kugonga mti. 

             Ajali hiyo imesababisha vifo saba na majeruhi 54 huku watano wakiwa na hali mbaya sana.  Je, ajali Tanzania ni uzembe? barabara au mipango ya muumba? tafakari na uchukue hatua

1 comments:

  1. mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi, yaani hizi ajali huku kwetu zimezidi, mara nyingi ni uzembe wa madereva, atataka ku over take hata kwenye kona ama speed zisizo na sababu, ni kuomba tu mungu atuepushe na hizi ajali

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet