hiyo ndo nyimbo iliyoimbwa na wasanii mbalimbali wa tanzania ili kuongeza mfuko wa pesa wa kumsaidia star wa bongo movies sajuki anaesumbuliwa na uvimbe tumboni kwenda kutibiwa india ila habari zilizopo chini ya carpet ni kwamba sajuki ameshakatiwa tiketi yeye na mke wake ya kwenda na kurudi na msamaria mwema mungu awaongezee watoaji wotee. hongereni sana mastaa wa bongo kwa uhamasishaji huo mmeonesha big support
Saturday, 5 May 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Kwa wimbo huu na uhamasishaji tuliouona na kuusikia toka kwa mastaa wetu, kweli wanastahili hongera, wamefanya jambo la maana sana na hii ndo maana halisi ya kioo cha jamii, mungu amsaidie Sajuki apone arudi kwenye hali yake ya zamani ili aweze lea mke na mtoto wake
ReplyDelete