Monday, 16 July 2012

NUSU APOTEZE MAISHA KATIKA PROCESS ZA KUONGEZA MAKALIO

Vanity Wonder
before operation




'This size was not my goal': Vanity said after the illegal injections gave her an infection which meant she had to her bottom even bigger with silicone implants so it didn't look lumpy
after operation

hizo pics mbili ni za mwana dada vanity wonder one of the dancers ambaye liamua kuongeza makalio yake kwa kigezo cha kuwa na umbile zuri na lenye mvuto dada huyo aliyeojiwa kwenye kipindi cha this morning alidai altaka kufariki kufatia na operation zake za kuongeza makalio hayo
kisa ni kwamba first time walimuweka oversize ya matako kwa hiyo alitaka apunguzwe na kila operation alifanyiwa nine injections zilizomfanya apoteze fahamu mara kazaa. mwanadada vanity anawasihi wadada wengine walio natabia ya kuiongeza makalio waache kabisaa maana ni hatari kwa maisha yao


2 comments:

  1. MHHH KWA KWELI NASHANGAA WANAWAKE JINSI TUNAVYOHANGAIKA, SASA KUONGEZA MATAKO KUNAKUPA RAHA GANI?? SASA HIYO MITAKO MPAKA MAGOTINI NDO NINI!! KWA KWELI MUNGU ATUNUSURU NA HII LAANA

    ReplyDelete
  2. hahahhahhaahhahahhahahahha mariam umenimaliza mie eti matako nyoooooo mbona hata mbuzi anayo

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet