
wale wapenzi walioachana kwa mbwembwe hivi karibuni. hapa tunamzungumzia wema na almasi penzi lao limeonekana kurudi upya kama zamani kwa sababu sasa hivi wanaonekana sehemu mbalimbali wakiwa pamoja hususani katika nyimbo yao mpya ya kigomaa sasa sijui yule shosti uso kauweka wapi all the best wema na almasi sasa twataka ndoa na sio show off
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website