Wednesday, 8 August 2012

WAKAMEROON WALIOKUJA OLYMPIC KUZAMIA NCHINI UINGEREZA


uwiiii sijui ni aibu  au sijui ni dhiki  za waahrica jamani wanaolympic saba wamepotea ghafla kwenye kijiji cha olympic kwa madai ya kuzamia nchini uingereza ili wasirudi kwao cameroon
  inasemekana wanaume sita na mwanadada mmoja waliokuja kwenye michezo ya olympic wengine walikuja kwa ajili ya mashindano ya kukimbia na wengine kwa ajili ya mashindano ya kuogolea. kocha wamichezo wa cameroon aliongea na the sun gazeti la uingereza na kusema kuwa wanamichezo hao hawajaaga walipoenda na vyumba vyao vipo empty......hehhhehehh people want to stay at malkia's country so hillarious....

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet