Friday 21 September 2012

DIAMOND AKANUSHA VIKALI KUWA HANA DEMU MPYA...ASEMA WAKE WOTE MNAMJUAAA

Dah! kiukweli nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua anamahusiano na mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi ndani yake... dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua ni mdogo wa Mwenyeji wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU ANAMJUA.....BOFYA HAPA KWA MORE HABARI

 

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet