Tuesday 11 September 2012

Naomi Campbell katika picha za hivi karibuni





Naomi Campell ndie anayepamba matangazo ya duka la PINKO kwenye nguo zake za fall/winter 2012-2013. Imebidi atafutie pozi la kuficha nywele zake za mbele zilizomkatika. Miaka 42 but she is still  hot.....

1 comments:

  1. kwakweli she is hot! mungu hakupi vyote, kanyimwa nywele lakini mashallah mvuto wanguvu

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet