Monday 24 September 2012

Wajua kama viazi mbatata ni dawa?

 Viazi mbatata (potatoes) ni maarufu sana katika mapishi mbalimbali ikiwemo kama kiuongo katika mboga, mapishi ya chips , mashed potatoes nk. Mbali na matumizi hayo, viazi huweza kutumika kama dawa ya kikohozi na tonsils. 
Vioshe na chemsha viazi na maganda yake mpaka viive vizuri hakikisha maji hayaishi.Vikishaiva vikiwa na maji yake chukua blangeti, jifunike na ujifukize mvuke unaotoka kwenye maji yenye viazi. Vuta pumzi na kuitoa ukiwa umeinamia viazi kwa muda wa dakika 5-10. Fanya hivyo mara kwa mara mpaka utakapopata nafuu kabisa. 

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet