Sunday 28 October 2012

kama hujaiona hii toka kwa Q-Chillah

Miaka ya nyuma Q-Chief alitoa hii nyimbo akimshirikisha Lady Jay Dee, ila kwa sasa ameamua kuwashirikisha Barnaba na Linah. Ipi bora kati ya hii mpya na ile ya zamani? ..enjoy the track, Zamani-Qchillah ft Linah & Barnaba

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet