brigitte Alfred kwenye vazi la ubunifu

what a smile awww Tanzania is blessed

after being crowned

tatu bora ya washindi wa redd's

brigitte akiwa na salha miss tz 2011 baada ya kumkabidhi taji

tano bora ya washindi

hapa walikua wakitoa show
Mrembo Brigitte Alfred, ametwaa taji la Miss Tanzania 2012 katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Blue Pearl Hotel, uliopo ndani ya Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.Mrembo huyo ana umri wa miaka 18, na aliiwakilisha Kinondoni katika kinyang'anyiro hicho, baada ya kushinda Miss Sinza 2012, na baadaye Miss Kinondoni 2012. we wish u all the best kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mrembo wa dunia
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website