Thursday, 16 May 2013

ANGELINA JOLIE AKATWA MAZIWA YAKE YOTE KUHOFIA KUPATA CANCER

File:Angelina Jolie Cannes 2011.jpg
 
Inasememekana mwanadada movie star Angelina Jolie amekatwa maziwa yake yote mawili ni baada ya kupima   kipimo cha $3000 ambacho hutumika  kuangalia kama una-gene ya cancer ya maziwa na ya ovaries. yeye aliamua kupima kwa kuwa mama yake alifariki kwa cancer. na alipopima alikutwa na yeye anayo hiyo gene. wakamwambia kuna uwezekano wa 87% za yeye kuja kuwa  na cancer ya maziwa hapo mbeleni...na 50% ovarian cancer...baada ya kuambiwa hivyo akaamua bora akatwe maziwa kabla hiyo cancer hajampata. kwa hiyo amekatwa maziwa ila kaweka maziwa feki kama wawekayo wanawake wengine.
 

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet