
Habari mbaya na za kusikitisha zinasema mangwear msanii wa bongo fleva amefariki dunia kwa kujioverdose madawa ya kulevya. kifo cha mangwear kimetokea nchini south afrika baada ya kutoamka pindi alipo lala. habari nyingine mbaya zaidi zinasema rafiki ya mangwear pia kaaga dunia hii leo huko Africa kusini sasa sijui chanzo cha kifo chao ni madawa kwa wote au kuna something behind the scene. mumgu alitoa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. R.I.P
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website