Tuesday 11 June 2013

PICHA ZA MSANII FLORAH MVUNGI AKIFUNGA NDOA NA H.BABA


hapo flora ana sign kitabu cha ndoa yaaaani kwa shida na rahaaa



same to hbaba akitia sign yake kwa makubaliano ya kumuoa binti wa mvungi
  rahaa jamani ukimpata akupendaee


tunawatakia maisha mema na ya furaha katika maisha yenu mapya ya ndoa
 

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet