Wednesday, 9 October 2013

diamond alalamika nyimbo yake mpya kuvujishwa


The king of pop in Tanzania diamond platinum amelalamika kupitia kwenye mtandao wa instagram kuwa nyimbo yake ya nikifa kesho imevujishwa na aliyekua producer wake wa zamani. diamond  aliandika hivi kwa instagram "kuvujisha nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala kunidhiru chochote sanasana utanizidishia umaarafu na kunipa show zaidi...kama nimeacha kurecord nyimbo studio kwako uspanick,relax..tafta msanii mwingine mkali zaidi yangu umrecordie ngoma ahit kushinda mimi....ila kuvujisha unajisumbua bure #ulievujishanikifakesho

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet