Wednesday, 4 January 2012
HABARI NDO HIYOOOOO
Published :
06:09
Author :
nyumbani kwetu
1. Don’t be naïve: Ni muhimu kufanya maandalizi ya ndoa kwa umakini wa hali ya juu na kuachana na utopia ambazo zinaweza kukusababishia matatizo. Haya mambo ya kudanganywa na maua, chocolate, sms za ajabu ajabu, simu za kila baada ya nusu saa (for girls) au ad libitum sex (kwa boys) visitumike kama vigezo vya kumpa mtu nafasi….Hakikisha unafanya home work yako (due diligence ya kutosha) vinginevyo utakumbana na mikataba kama ya Richmond; and that will be too late!!
... 2. Hakuna sababu ya kuwa na huruma: Hakuna sababu ya kumwonea mtu huruma kwa sababu wewe siyo mama yake wala Yesu Masiha! .....Utasikia mtu anasema kuwa amekaa na GF au BF wake kwa muda mrefu kwa hiyo anaogopa kumuumiza…Yes ataumia but that will be over after a very short time! Ila kama utajifanya Msamaria na kumkubali mtoto wa watu basi utakuwa umemharibia maisha yake yote…Dhambi hiyo ni kubwa sana!!
3. Unshakable criteria: Lazima mtu ujitambue wewe mwenyewe ili uweze kuwa na vigezo vya kumpimia mwenzio. Kama huwezi kufanya hiyo kazi, bora jikalie tu utange tange mitaani…It will be very hard to work out your way kwenye ndoa kama hujui unachokitaka. Ni sawa na kwenda kuuza vitu sokoni ambavyo hata hujui bei yake katika masoko….Pia mwenzio akikugundua anaweza kukufanya msukule
4. Don’t compromise on important issue: Kwa mfano, kama unajua kuwa huwezi kulea mtoto wa kambo, basi usifanye urafiki na mtu mwenye mtoto (either sex). Pia usipende kufanya majaribio kwa kuwa na mahusiano na watu ambao wewe unajua kuwa hawana vigezo vyako muhimu (hii inawahusu sana boys ambao wanapenda kuchezea vitoto vya mitaani huku wakijidanganya kwamba wana pass time).
5. Don’t be a spectator: Ukishaamua kuwa na urafiki na mtu, hakikisha unashirikiana naye mambo yake ya muhimu. Kwa mfano, kuna vijana wengi (hata wanaume) wanakuwa na GF ila hawajui hata cycle zao zinaanza na kuisha lini. Matokea yake wanakuja kulalamika mara GF anaporipoti kuwa kapata mimba…................Ni muhimu kushea details na mwenzio ili kuondoa chances za kuwa surprised na mambo ambayo hukuyategemea kabisa na labda ungemsaidia kuya-avoid!
6. Acha mizaha: Kuna watu wanafanya majaribio ya hatari katika mahusiano..Like kutumia ngono za mitandao isiyoruhusiwa. Pia kuna watu hawajali hata wakipata watoto kwenye mahusiano yasiyoeleweka. Please do whatever possible to avoid pregnancy if you can’t be friends without sex!
7. Expect the unexpected: Mahusiano yoyote kabla ya ndoa hayako binding…Nawashauri vijana wajiandae kwa lolote…But take precautions ili kupunguza maumivu. Kwa mfano, siyo fair kuwa kwenye relationship isiyoeleweka kwa miaka 2 au zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
steakers shop on line
Wazoefu Computer Technology
Search This Blog
Followers
Archive
69records
My Blog List
Blogroll
Popular Posts
-
Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa masty...
-
angelina jolie aliibuka kwenye 84th annual academy awards kavaa gauni lenye mpasuo mrefu ambao uliweza kuonesha mguu na paja lake ipasavy...
true true
ReplyDeletethx dear NK
ReplyDelete