Monday, 16 January 2012
Matumizi ya Bicarbonate of Soda (Unga wa Soda) kwenye usafi.
Published :
01:29
Author :
nyumbani kwetu
Bicarbonate of Soda mbali ya kutumika kwenye mapishi, inaweza kutumika kwa ajili ya usafi mbalimbali. Kwa mfano kwa ajili ya kusafishia tiles, sink la mikono, Bath tube na choo. Nyunyiza bicarbonate of soda katika sink au sehemu unayotaka kusafisha, changanya na sabuni ya unga. Baada ya dakika 5 mimina cocacola kidogo, chukua mao lifunge na steel wire usugue vizuri. Kisha mwagia maji safi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
steakers shop on line
Wazoefu Computer Technology
Search This Blog
Followers
Archive
69records
My Blog List
Blogroll
Popular Posts
-
Kwa mujibu wa wema on istagram kama picha na caption yake inavyosema kuwa ana expect hheheheh sisi tunasubiri tu movie iendelee lol ...
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website