rihanna @ 54 grammy awards plunging Georgio armani gown
kuna gossips zinasema kuwa chris brown aliattend on rihanna's 24th secret birthday bash huko hearst mansion in Beverly hills.Chris brown aliwasihi watu walio hudhuria tafrija hiyo to keep their mouth shut na akawasainisha mkataba kwa lazima ahhahaha yani nimechekajee??? huyu jamaa mjanja kweli hataki kuvunja mahusiano yake mapya in few weeks time rihanna atalerease her new album nakuna baadhi ya nyimbo kamshirikisha my love wake hehhehe icant wait.....

No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website