Hii ni siku ya kuonyesha upendo kwa mtu umpendae. Si lazima awe mpenzi, unaweza kuonyesha upendo wa kipekee kwa mtoto wako, mzazi wako au rafiki yako wa karibu. Wale single boys and ladies...u got families and friends to share this love with. God bless you all and lets spread the love...
Na kama bado hujanunua zawadi na hauna Idea, try this
For Kids you can buy
Toys, viatu, begi la shule
For Women
perfume, shoes, jewelries , flowers
For Men
Shoes, watch, perfume, shirt, Tie
Love you all
we love you too.
ReplyDeletepatamu hapo sijui kama mpenzi wangu kashaninunulia zawadi i cant wait for suprises
ReplyDeletehappy valentine
ReplyDelete