Friday 24 February 2012

Will Chris Brown Go to jail for 5 years!!!????

Mtandao wa mediatakeout umeandika kua Mwanamuziki Chris Brown anaweza kwenda jela kwa Miaka 5 kwa kosa la  kumnyang'anya simu msichana aitwaye Christal Spam. Christal ameeleza kua yeye na marafiki zake walikua wanamfatilia Chris na  kumpiga picha wakati anatoka club. Inasemekana Chris alimnya'nganya Simu Christal ili asiweze kuziweka picha hizo kwenye websites. God, sijui hizi habari ni za kweli!!?Crossing my fingers, Hope it's not true. 

2 comments:

  1. ni kweli kuhusu simu ila kuhusu kwenda Jela bado hawajafanya uamuzi huo. ni kwamba demu alimpiga picha chris brown bila hata kuomba ruhusa..chris alikua ndani ya gari kioo wazi basi alivyoona amepigwa picha akainyakua simu toka kwa demu akamwambia "bitch you ain't gonna put this in any website"...alafu dereva akaondoa gari wakasepa na simu ya mdada. sasa mdada kaenda kushitaki eti chris kamuibia simu!!! mijitu mingine bwana...sasa yeye si angeomba ruhusa...hata mimi limtu likija kunipiga picha bila ruhusa yangu wala sitafurahi...kila siku mtu unakimbizana na mapaparazi..sasa na watu baki nao wanasumbua hivyo! Chris alipe tu fine mambo yaishe...wanamuone tu mkaka wa watu... (Ritha Ntemi)

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet