Tuesday, 13 March 2012

Je wajua faida ya Juice ya komamanga?


Inasemekana; Ukinywa juice ya tunda la komamanga (pomegranate) nusu lita  kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, inasaidia kupunguza mafuta tumboni. 
Pia komamanga inasaidia kuzuia kansa ya matiti isitambae mwilini. 
  Wale wenye vitambi mpooo? na wale kina mama je? Naanzaje kua mteja no.1 wa haya matunda? xoxoxoxooo

3 comments:

  1. hili tunda ni muhimu sana hasa kwa wadada/wanawake kwa ujumla inasaidia pia kuzuia kansa ya kizazi na ingredient ambazo zinasaidia self cleaning kule kwa bibi so tujitahidi wapenza tena kwa bongo ni bwelelee!!!!!!!!! KUMBUKA KHERI KINGA KULIKO TIBA NA HAKUNA GONJWA BAYA KAMA KANSA.. PFUUUUUUUU........

    ReplyDelete
  2. ni kweli kuwa hili tunda lina tiba nyingi lakini kulipata kwa kweli ni mtihani mkubwa, mimi mara ya mwisho nimekula na kuliona hili tunda miaka sita iliyopita hapa bongo, hebu tusaidieni wapi linapatikana wajameni!!

    ReplyDelete
  3. me ninavyojua haya matunda ni adimu sana hapa dar, then hiyo juice unatengenezaje because yana vijitunda vidogo vidogo vigumu na sidhani kama unaweza kuvisaga na blender. then kama yako available sehemu naomba dada mary utufahamishe ili na sisi tuweze kwenda kununua.

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet