Tuesday 20 March 2012

Ukistaajabu ya musa......

  Natasha Moraes de Andrade (miaka 12) ni mkazi wa  Rio De Janeiro, Brazil. Binti huyu ana nywele  zenye urefu wa futi 5 na nchi 3, ila sasa ametangaza kuzikata  kwa dau la 3500£ ambayo ni sawa na 7.5 m tsh. 

  Kwa wiki natumia kopo zima la shampoo, masaa manne kuziosha na nusu saa kuzichana. 
Mtoto huyu haishi maisha ya kawaida kama ya watoto wengine wa umri wake kwa maana nywele zinamzuia kucheza, kufanya mazoezi. Mama yake aitwaye  Moreas de Andrade amesema imefika muda inabidi nywele hizo zikatwe maana zimezidi kuongeza bajeti kwenye familia, ambayo familia inashindwa kuimudu.kwa mwaka wanatumia   400£ ambayo ni sawa na 85,0000 tsh kuzihudumia nywele hizo.       
  Natasha anatarajia kuzitumia pesa zake hizo atakazozipata baada ya kupata mteja kufanyia ukarabati chumba chake.
Haya mama kata nywele watutengenezee maweaving na mawig tuvae.dau lake mmeliona eeh, no wonder hizo brazilian hair tunauziwa bei...lol

4 comments:

  1. hahaha kitu cha Brazilian hair jamani atugawie basi kha! Halafu zina afya sana

    ReplyDelete
  2. mmmh speechless

    ReplyDelete
  3. Hata hazinitamanishi lazima anachawa huyu aaarrrrrgggggg

    ReplyDelete
  4. mhhh kazi kweli kweli, ulaya raha, nywele unafuga mwenyewe then ukikata unakua milionea mwehhh acha na sisi tuanze kufuga hivi vipilipili vyetu labda tutatoka

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet