KATIKA MAISHA KUNA WATU WANAVIPAJI LAKINI HAWAJUI WAPI PAKUANZIA ILI WATOKE KATIKA PEPESA PEPESA MACHO YANGU KWENYE MAKUNDI FULANI FULANI KATIKA FACEBOOK NILIKUTANA NA WADADA WENYE UWEZO WA KUWEZA KUTUNGA STORY ZAO WENYEWE NA ZINASISIMUA HASWAA. BLOG YA NYUMBANI KWETU ITAKUA INAKULETEA STORY MBALI BALI KILA SIKU YA JUMAPILI KAMA UNAPENDA STORY KAMA ZA KINA SHIGONGO BASI HAPA UTAPATA UHONDO WA AINA YAKE LEO TUTAANZA NA STORY INAITWA KILL ME PLEASE NA MTUNZI NI NYEMO DAVID YEYE ANAUWEZO WA KUTUNGA FILAMU KALI KALI KUHUSIANA NA JAMII INAYOTUZUNGUKA HAYA PATA MAUTAMU.COM ( spare the grammatical errors)
KILL ME PLEASE: PART ONE
Nakushangaa unavyotaka kumuua huyo mtoto, ni mdogo sana na hana hatia kama unavyofikilia , kwa nini usiniue mimi badala yake! but plz usisahau sometime unaweza kumuua mtu anayekupenda kuliko unavyofikiria wewe, and i want to conferse to u that i love u! and am very happy to die while am in love with u....Olga aliyasema maneno hayo huku sura yake ikiwa imejawa na woga uliochanganyika na mapenzi ya dhati kwa jambazi hilo , je kwann Olga alilazimika kusema hayo plz fuatilia story hii inayokujia kwa hisan kubwa ya NYEmo Daaaavid.......
KILL ME PLEASE: PART ONE
Nakushangaa unavyotaka kumuua huyo mtoto, ni mdogo sana na hana hatia kama unavyofikilia , kwa nini usiniue mimi badala yake! but plz usisahau sometime unaweza kumuua mtu anayekupenda kuliko unavyofikiria wewe, and i want to conferse to u that i love u! and am very happy to die while am in love with u....Olga aliyasema maneno hayo huku sura yake ikiwa imejawa na woga uliochanganyika na mapenzi ya dhati kwa jambazi hilo , je kwann Olga alilazimika kusema hayo plz fuatilia story hii inayokujia kwa hisan kubwa ya NYEmo Daaaavid.......
Olga, olga, olgaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeeeeeeh hebu
njoo bwana yaani husikiii ninavyokuita hivi wewe mtoto mbona unaniletea ujeuri
siku hizi? Mama Olga anamuita bintiye mbaye kwa muda huo yuko chumbani
anajifanyia home work zake , olga ni msichana wa miaka 16 na ametoka katika
familia ya kimasikini mama samahani nilikuwa namalizia homework zangu, vp
unasemaje mom,?mama samahani nilikuwa namalizia homework zangu, vp unasemaje
mom,? Ok Olga naomba kesho uchelewe kdg kwenda shule ukae na mdogo wako miye
nataka niende kwenye biashara zangu, mama ake Olga alikuwa anajishughulisha na
uuzaji wa mboga ya kisamvu alichokuwa akienda kukichuma katika mashamba ya watu
, Mama Olga alizoea kila siku asubuhi na mapema kumbeba mwanae ambaye alikuwa
na mwaka mmoja na nusu kisha kwenda kwa marafiki zake waliokuwa na mashamba
jirani, mama Olga aliwasaidia kidogo kazi , kisha nao kama kumpa asante walimruhusu
kuchuma kisamvu ambacho alikuwa akienda kukitembeza katika manyumba ya watu na
pesa alizozipata zilimsaidia katika kujikwamua na maisha magumu yaliyokuwa
yakiwakabili hapo nyumbani......
Baba yake Olga alishawakimbia siku nyingi baada ya
kuona maisha yamekuwa magumu pale nyumbani akaenda mkoa mwingine kuanza maisha
mapya huko, kwa hiyo aliwaachia familia yake maisha yasiyokuwa hata na
matumaini, lkn pamoja na hayo yote olga hakukata tamaa kwenye kujituma !
alisoma kwa bidii zote shida za pale nyumbani hazikumfanya alegeze uzi
alijitahidi sana kwa kuona kuwa may be kwa
kusoma kwake Mungu angekuja kuyageuza maisha yao hapoo baadae..... Olga alipoingia darasa
la saba maisha yalizidi kuwazidia , na kuwa magumu at the same time Olga
alitakiwa awe na vifaa vya shuleni kitu ambacho kilimuongezea mama yake gharama
,Olga alionekana kumuonea huruma sana
mamake but hata hivyo angefanyaje? ihali yeye bado ni teneeger hakuwa hata na
idea maisha ya nje yanaendaje kitu alichokiamini yeye ni shule na ndo maana alionyesha
bidii zake zote! Olga alifanikiwa kufanya mtihani wa darasa la saba ambapo
baadae majibu yalikuja na kuonyesha kuwa alikuwa miongoni mwa wasichana
wachache hapo shuleni kwao waliochaguliwa kujiunga na elimu ya secondari,
habari hizo zilileta mchanganyiko wa furaha na huzuni kwani hawakuelewa
wangepata wapi pesa za kununua vifaa vya shule Wakiwa ktk kutafakari, mama
Mayasa ambaye alikuwa ni best friend wa mama ya Olga alikuja na Idea kuwa kwann
mama Olga asijaribu kupika pombe za kienyeji na kuwauuzia watu! maana hizo
atleast angeweza kupata kipato cha kumnunulia bintiye vfaa vya shule, Idea hiyo
ilipokelewa vzr na mama Olga kwa msaada mkubwa wa rafikiye mama Mayasa walianza
kujiandaa kwa ajili ya kupika pombe hiyo kwanza walikoka moto mkali wa makuni ,
kisha wakatumbukiza maji ktk pipa kubwa na unga wakaanza kuyachemsha, huo
mchanganyiko ulichemka kwa siku nzima, then jioni kama saa kumi na mbili
wakayaipua mamchanganyiko hayo ili kuyapooza ndo wachanganyie na mchanganyiko
mwingine hadi next day inakuwa pombe tayari, sasa walisaidiana na kuyaipua then
wakagawanyisha katika mapipa mengine mawili ili upoe na then wakawa wanajaribu
kupooza mara kwa mara , sasa ktk kupooza mdogo wa Olga alikuwa akipita pita
katika kucheza na kwa bahati mbaya wazazi wake walijisahau na kufanya mambo
mengine kwa bahati mbaya mtoto alikorofisha pipa moja na ule mchanganyiko wote
ulimwagika na kumwagikia mtoto! tahamaki mama olga alijitahidi kumbeba mwanae
na kumkimbiza hospital lkn kwa bahati mbaya madaktari walishindwa kuokoa maisha
ya mtoto kwani alikuwa amebabuka mwili mzima kwa hiyo mtoto alipoteza
maisha!Msiba wa mdogo wa Olga uliwaumiza sana watu, asubuhi na mapema kila mtu
alikuwa akielekea kwenye msiba mama ya Olga alilia sana kwa kumkosa mwanae Olga
naye alilia sana na alijilaumu kwa yote hayo yalitokea kwa sababu yake
alimuhurumia sana mama yake kwa kupoteza mtoto ilimradi tu amsaidie olga aende
shule, watu walikuja na kutoa pole nyingi kwa wafiwa , mama alizihifadhi hipo
pole zote na baada ya msiba kwisha alizitumia pesa hizo ili kununua vfaa vya
mwanae na hivyo ndivyo Olga alipoanza kidato cha kwanza kwa masikitiko makubwa
moyoni alifikiria yaani mdogo wangu amejitoa sadaka ili tu nifanikiwe hakika
nitajitahidi kwa kadri ya uwezo wangu ili nije kuyaenzi maisha ya mdogo wangu
Olga alifanikiwa kwenda shule na kuanza kidato cha
kwanza huku akiwa na matarajio ya kujiendeleza ,na alijitahidi sana katika
masomo yake hadi akaanza kuwashangaza walimu wake na mamake aliendelea na
biashara yake ya kuuza mboga biashara ya pombe hakuitamani tena kwani
ilimsababishia akampoteza mtoto wake aliyempenda sana , but biashara yake
haikuwa nzuri tena kwani pesa alizokuwa anazipata ni kwa ajili ya kula tu so
maisha yalianza kumuelemea sana hata hivyo jambo la kumshukuru mungu alikuwa
peke yake tu kwani binti yake alikuwa ameenda shule so tumbo la mtu mmoja
halikumpa shida sana Bahati mbaya ilianza tena olga alianza kukosa vifaa vya
shule na kama mnavyojua hakuna hata mtu wa kumpiga jeki na hali hiiyo ikaanza
kumfanya akate tamaa ya maisha, mwalimu Kipepe ambaye alikuwa ni mwalimu wake
wa jiografia aliiugundua hali hiyo mara moja akaanza kutafuta mbinu za kumpata
binti wa wawatu , kwanza alianza kwa kumpatia vijizawadi vya hapa na pale Olga
hakuwa na wasiwasi kwani aliamini mwl alikuwa akimsaidia kwa nia njema kabisa
na one day mwalim alimwambia olga kuwa Binti usiwe na wasiwasi nimeshapokea ada
yako mama yako alishanitumia so we endelea vzr na shule wala usiwaze habari ya
ada kumbe alikuwa anamdanganya hakuna ada iliyotolewa wala nini
TO BE CONTINUE..........
SO TOUCHING!
ReplyDelete