Mark zuckerberg founder wa facebook ameamua kumuoa girlfriend wake wa muda sasa bi pricilla chan jumamosiya tah 19 mei. mark na pricilla walichange status zao kwenye facebook as married couple wooow how wonderful.inasemekana wageni walikua si wengi sana kwenye harusi maana kafanya a very simple wedding CONGZ KIJANA AMBAE UMETUFANYA LEO TUKAWEZA KUWASILIANA KWA UKARIBU NA DUNIA NZIMA INSHORT YOUR AMONG OF THE PEOPLE WHO MADE THE WHOLE WORLD LOOK LIKE A SMALLVILLAGE DUE TO QUICK COMMUNICATION...
Tuesday, 22 May 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
steakers shop on line
Wazoefu Computer Technology
Search This Blog
Followers
Archive
69records
My Blog List
Blogroll
Popular Posts
-
Kwa mujibu wa wema on istagram kama picha na caption yake inavyosema kuwa ana expect hheheheh sisi tunasubiri tu movie iendelee lol ...
-
Join us on Sat 18th Jan 2014 at the most unique party in READING,THE BIG ROYAL BIRTHDAY BASH,2 Bedford rd RG1 7HS Featuring RICHIEDEE and...
kwa kweli anastahili hongera, mweeh kumbe huyu bwana mdogo ndo anayetudatisha watu wazima huku duniani!! kweli lilia bahati
ReplyDelete