Tuesday 8 May 2012

Kikombe alichotumia Lady Gaga chaingiza mamilioni

 Hiki kikombe kilikitumika na Lady Gaga kwa siku moja tu na kupigwa mnada, watu zaidi ya
1300 walivutiwa na kutaka kukinunua, ila mwisho wa siku kikombe hicho na kisahani chake kiliuzwa kwa  pesa sawa na  mil 95Tsh. Hela hizo zilizopatikana  zitatumika kuwasaidia wasanii waliokumbwa na maafa ya Tsunami 2011 huko Japan.
                                               Lady Gaga.

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet