Thursday 3 May 2012

Mjue STAR atakayeiwakilisha Tanzania kwenye Big Brother Africa

Big Brother  imeshataja superstars saba watakaowakilisha nchi zao ndani ya BBA. Nchi hizo ni Zambia, South Africa, Kenya, Zimbabwe,Nigeria,Namibia na Ghana. Ingawa Tanzania haijatajwa mmoja kati ya hawa anadaiwa kuiwakilisha Tanzania ndani ya BBA 2012.

Jocate
                                                          Hemedi
                                                             Wema
Unatamani kujua ni nani aliechaguliwa kutuwakilisha eehh???stay tuned...!!!!

4 comments:

  1. Bora wema aende ana english nzuri

    ReplyDelete
  2. hemedi..hakuna cha wema wala kidoti

    ReplyDelete
  3. Kidoti ndio anakwenda ila Diamond ajiandae manake ukweli na tabia chafu ya kidoti kuhamahama wanaume itajiweka wazi. Diamond anza kusaga chupa hilo unalo na ujiandae kuzinywa. Pole kwa mama mzazi kumpoteza kijana anayeibukia ambaye angekuwa mlezi bora wa familia.

    I wish Wema ndio angeshinda na aende angetuwakilisha vyema

    ReplyDelete
  4. Atuwakilishe vizuri atakayekwenda

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet