Monday 25 June 2012

Hii inakukumbusha wapi?

Kipengele kipya cha "Inakukumbusha wapi' kinakupa nafasi ya kuona video ya nyimbo ya zamani   ilizowahi kuhit na kubamba sana miaka ya nyuma. Aina zote za muziki, iwe bolingo, hip hop, bongo fleva, nk. Leo tunaanza hivi
                                  Yondo Sister- Wapi Yo       

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet