Hivi karibuni Usher alikua na migogoro na mpenzi wake wa zamani tameka foster waliojaaliwa kupata watoto wawili, migogoro huo ulikua nani akae na watoto? maana kila mmoja alitoa sababu ya kutaka kuishi na watoto. usher alidai kuwa tameka is uncapable of raising the kids while tameka alisema usher hutumia drugs mbele za watoto na yupo busy sana with clubbin hivyo hatwaangalia watoto kwa makini. baada ya court kuangalia malalamishi ya pande zote mbele imekubali usher akae na watoto muda mrefu na watashinda kwa tameka for few hours
Saturday, 25 August 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
steakers shop on line
Wazoefu Computer Technology
Search This Blog
Followers
Archive
69records
My Blog List
Blogroll
Popular Posts
-
Kwa mujibu wa wema on istagram kama picha na caption yake inavyosema kuwa ana expect hheheheh sisi tunasubiri tu movie iendelee lol ...
-
Join us on Sat 18th Jan 2014 at the most unique party in READING,THE BIG ROYAL BIRTHDAY BASH,2 Bedford rd RG1 7HS Featuring RICHIEDEE and...
im happy for u Usher.....simfagilii tameka;
ReplyDeletemirembes owner