Dah! kiukweli
nimesikitishwa sana na taarifa za mwanadada huyu kujinadi kua anamahusiano na
mimi ya kimamapenzi na eti tunamipango mingi ikiwemo ya Harusi ndani yake...
dah! kiukweli nimejiskia vibaya sana Kwani taarifa azitoazo msichana huyo si za
kweli kabisa, Nilikutana nae Malindi akiwa kama mmoja ya Waandaaji wa tamasha
hilo niLIlokwenda kutumbuiza na mbali ya hayo pia alikua ni mdogo wa Mwenyeji
wangu wa Malindi, hivyo nilikua nikimchukulia kama dada yangu kumbe mwenzangu
alikua anamipango mingine...kiukweli nimejiskia vibaya, Nimehisi kama Ukarimu
wangu kwake na kuwa nae huru kama mmoja ya wenyeji wangu umeniponza, badala yake
anatumia picha tulizopiga nae kwa namana nyingine....Ukweli ni kwamba MWANADADA
HUYO SINA MAHUSIANO NAE YA KIMAPENZI KABISA.... MPENZI WANGU NAAMINI KILA MTU
ANAMJUA.....BOFYA HAPA KWA MORE HABARI
|
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website