Sunday 21 October 2012

Ama kweli penzi ni kikohozi

Finally Chris Brown na Rihanna wameamua kuwa wawazi na kuyaonyesha mapenzi yao waziwazi baada ya kutengana kwa miaka 3. Ingawa kipindi hicho chote kulikuwa na tetesi kuwa wawili hawa wamerudiana  kisirisiri hakukuwa na proof yoyote mpaka hapo jana walipoamua kutoka pamoja wakiwa kama couple kwenye Qubeey launch party iliyoandaliwa na Chris. Utawaona wamekaa pamoja, and Rihanna looks happy and relaxed. Happy for them kwa kweli, they deserve a second chance. Utawafurahishaje watu wakati roho inaumia??? Go RIRI


No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet