Friday, 4 January 2013

unalijua hili?

waweza badilisha nail polish ya kawaida na kuwa Matte  nail polish

Mahitaji
          1. Rangi yoyote ya kucha uipendayo
2. sufuria yenye maji ya moto
kushoto ni rangi ya kawaida ya kucha, kulia ni Matte 

fata utaratibu huu
 Paka rangi yako vizuri uipendayo. Kabla haijakauka weka kucha zako karibu na sufuria lenye maji ya moto ili rangi iweze kupata mvuke. ukiona kucha zako zimepata mvuke wa kutosha subiri mpaka rangi  yako ikauke.
Matte nail polish, inanoga eehh....basi si lazima kuinunua.waweza itengeneza mwenyewe ukiwa nyumbani. xoxoxo

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet