Monday, 25 March 2013

KAJALA MASANJA YUPO HURU KWA FINE YA MIL 13

Habari ya mujini inasema kuwa kajala yupo nje kwa dhamana ya  tzsh mil 13 na inasemekana bongo movies wamechangia pesa hizo hasa wema sepetu aliyetoa a huge amount kulipa deni hilo.welcome back kajala


No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet