The king of pop in Tanzania diamond platinum amelalamika kupitia kwenye mtandao wa instagram kuwa nyimbo yake ya nikifa kesho imevujishwa na aliyekua producer wake wa zamani. diamond aliandika hivi kwa instagram "kuvujisha nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala kunidhiru chochote sanasana utanizidishia umaarafu na kunipa show zaidi...kama nimeacha kurecord nyimbo studio kwako uspanick,relax..tafta msanii mwingine mkali zaidi yangu umrecordie ngoma ahit kushinda mimi....ila kuvujisha unajisumbua bure #ulievujishanikifakesho
Wednesday, 9 October 2013
diamond alalamika nyimbo yake mpya kuvujishwa
Published :
04:24
Author :
nyumbani kwetu
The king of pop in Tanzania diamond platinum amelalamika kupitia kwenye mtandao wa instagram kuwa nyimbo yake ya nikifa kesho imevujishwa na aliyekua producer wake wa zamani. diamond aliandika hivi kwa instagram "kuvujisha nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala kunidhiru chochote sanasana utanizidishia umaarafu na kunipa show zaidi...kama nimeacha kurecord nyimbo studio kwako uspanick,relax..tafta msanii mwingine mkali zaidi yangu umrecordie ngoma ahit kushinda mimi....ila kuvujisha unajisumbua bure #ulievujishanikifakesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
steakers shop on line
Wazoefu Computer Technology
Search This Blog
Followers
Archive
69records
My Blog List
Blogroll
Popular Posts
-
Kwa mujibu wa wema on istagram kama picha na caption yake inavyosema kuwa ana expect hheheheh sisi tunasubiri tu movie iendelee lol ...
-
Join us on Sat 18th Jan 2014 at the most unique party in READING,THE BIG ROYAL BIRTHDAY BASH,2 Bedford rd RG1 7HS Featuring RICHIEDEE and...
No comments:
Post a Comment
Thank you for visiting our website