Friday, 3 February 2012

KUISHI KWINGI UTAYAONA MENGI.......

She is just 10 yrs old  
 Hapa akiwa na vazi la kibrazil.

 Ni moja kati ya models wadogo na wakali walio wahi kutokea.

ANYWAY AFTER 10 YEARS HAWA NDIO WATOTO WETU WAKIELEKEA KINDERGARTEN SCHOOL.

 GOD BLESS US MAANA TUENDAKO...mweeeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!!

2 comments:

  1. teh teh tehitakuja mpaka itakuwa wakitoka tu tumboni wanaanza kulia wanataka iphone iphone

    ReplyDelete
  2. kazi ipo hichi kizazi chetu

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet