Friday 3 February 2012

WATZ TUJIFUNZE KUAPPRECIATE MAFANIKIO!!!!!!!!!!!!!

5days zikiwa zimepita toka mtoto wa makamba "Mwammy"   alipolifungua Jumba lake jipya ambalo limemgharimu almost 950,000$ sawa na 1.4 billions kwa tshs ,Maneno yameanza kuzidi mitaani!!

Wakihojiwa watu kwa nyakati tofauti ,wapo waliosema "Kanunua wapi? hiyo nyumba ni ya baba yake ipo mikocheni ila kampa bintiye kuficha shutuma zinazomkabili ,wapo waliosema she can't afford to buy that kind of crib may be ka amehongwa na mzungu wake,wengine walisema may be atakuwa fisadi na mengine mengi.....khaaaa? Mwammy dont give up, obstacles zipo kila sehemu ,wivuuuuu tu! Who run the world ????? Girlssssss!!!!!

12 comments:

  1. wizi mtupu,tupa kule

    ReplyDelete
  2. HAMNA ASIYEPENDA MAFANIKIO YA MTU ILA NJIA ZA MAFANIKIO NDO ZINATUPA SHAKA

    ReplyDelete
  3. nchi ya tanzania IMELAANIWA,hakuna usawa kwenye kila kitu,its not fair kujenga nyumba ya gharama hiyo hata kama anao uwezo,watanzania wangapi hawana hata chakula,,IMELAANIWA TAZANIA,im pissed off to a Tanzanian

    ReplyDelete
  4. hahahahaha unaambiwa lilia bahati, kama kapewa na babake si na nyie babazenu wawape?? na kama kahongwa na mzungu si na nyie mutafute hao wazunguuuu, tuache wivu mwenzetu akifanya jambo jema tumsifu na si kumkejeli mweeh!

    ReplyDelete
  5. We have every reason to question that, for if you want to be innovative, you have to question everything. In that regard, I have no problems with all those who question the achievement of Mwamvita, I am at loggerheads with those who want to spoil her achievements.

    ReplyDelete
  6. lol.. Mariam thanx, hata wasemeje ndo yake sasa, wataishia kuumia tu badala ya kumuuliza akupe mbinu na wew unaanza majungu, hongera mwaya. kula raha ktk jumba lako.

    ReplyDelete
  7. mambo ya pesa jamaniiiiiiii

    ReplyDelete
  8. M.S.J.umeona eeeh, kama nawaona wanavyokosaga usingizi, Go Mwami, kila la kheri

    ReplyDelete
  9. wee anony watatu una lako jambo, yu in Tanzania or nje ya Tanzania, maana hiyo nyumba kwa Tanzania ni ndogo mno labda kama unaishi kijijini ndio utaishangaa

    ReplyDelete
  10. NOT MAMBO YA PESA UFISADI MWINGI TZ..... BABA KAIBA HELA KAMPA MTOTO ANUNUE NYUMBA ON HER NAME

    ITS FUNNY HOW THEY TRY U MAKE US LOOK LIKE FOOOLS...... KUNA BLOG ILIWEKWA HII NYUMBA ILA AFTER FEW MINUTES POST IKAWA DELETED FASTAAAAAAA LUCKLY I SAW IT COZ SHE POSTED ALL THE DETAILS INSIDE

    MWENYE NACHA ATAENDELEA KUWA NACHO NA ASIYENACHO HATA KILE KIDOGO ANANYANGANYWA....

    ReplyDelete
    Replies
    1. jamani!!!!tuwaulize TRA huyu aliyejenga nyumba hii alilipa kodi ya mapato kiasi gani kuijenga nchi yake??????????????????????????????????

      Delete
  11. kwa kaz gan? mhhhh cdanganyiki mie....

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet