Men! Mnawaza mtoke vipi weekend hii,kaazi kwenu sasa!!!
Picha ya kwanza ni model akionyesha vazi la skirt na koti,picha ya pili ni mtu mzima mwenyewe sean combs a.k.a diddy akiperform kwenye shows zake na vazi hilo hilo skirt na koti,picha ya tatu ni Kanye west akiwa the same vazi "swagga",ya mwisho ni models wakionesha njinsi hata wavulina wanaweza wakapendeza kwenye vazi la skirt. Mmmmmmh! Tunapoelekea....lol
haaa sitaki bwanangu avae hivyo asije anza tongozwa bureeee
ReplyDeletehahaahaha..why hutaki aanze kuvaa @anonymous...analishepu nini? sorry!
ReplyDeletewe nawe kakojoe ukalale...period
Deleteteh teh teh !!!!!
Deleteno comment
ReplyDelete