Saturday, 4 February 2012

OMG!!!! "ETI WANAIITA " *SEE THROUGH* ....Girls!!!! Fashion mpya kitaa

Duuh! assume hii style imeingia bongo na huyu binti anakatiza mitaa ya K'koo.
"Good Girl Gone Bad"...huyu ndo RIRI akiwa ametupia kitu cha see thru . Cjui ni kwamba bra zimekuwa expensive au zinawaumiza!!!!!!!!!!
Huku ndipo wanapoelekea sasa macelebrities coz wamechoka vaa bra so kinachofuata hata top zitakuwa hazivaliwa.
Girls!! sijawatupa huu ndo mtoko wetu wa weekend hii....Have a nice weekend fellaz.!!!!!!!

4 comments:

  1. na akajaribu kukatiza k/koo kaka hajabandikwa mimba za chap chap

    ReplyDelete
  2. msagaji original4 February 2012 at 15:04

    yalaaaaaaaaaaaaaaaaaa hilo tako la huyo mwanamke minaj linanivutia sana ebu ngoja nami nimtafute bby wangu

    ReplyDelete
  3. mhhhhh hizi fasion zingine acha zitupite tu, mweeeh, na NIDO hizi!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. na kweli hizi wavae wenye chuchu saa sita tu (wametutengaje hapaaa)

      Delete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet