Thursday 8 March 2012

Bungo raha yake ni chumvi na pilipili kwa mbaliii...

      Sijui ni mimi tu, hii picha inanipa tabu kweli kweli. Hii ni moja ya sababu inayofanya nyumbani kusifanane na sehemu yeyote ile.Vitu kama hivi nchi za watu adimu sana.

3 comments:

  1. uwiiii i want em' bungooooooooooooz

    ReplyDelete
  2. matani haya jaman mbona hivyo
    marimar

    ReplyDelete
  3. Yaani mate yananitoka mweeh, kwetu ni kuzuri,haswa uwezi kufananisha.

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet