Wednesday 7 March 2012

HAPPY WOMEN'S DAY!!!!!!!!

LEO NI SIKU KUBWA SANA KWA WANAWAKE DUNIANI HIVYO KUNA BAADHI YA MADA ZILIZOONGELEWA NA WANA NK ILI KUBORESHA NA KUONGEZA HESHIMA YA MWANAKME KATIKA JAMAII.. NAPENDA KUSHEA HIZI MADA NA WADAU WA BLOG HII NITAZIANDIKA KWA UFUPI NA KAMA UMEGUSWA NA MADA YOYOTE UNAWEZA TOA MCHANGO WAKO ILI KUMSAIDIA MWANAMKE YOYOTE ALIYEKUMBWA AU ANAYEHITAJI MSAADA KUPITIA MADA HIZO

1)KUKAMATWA  KWA WAKINA MAMA WENYE UMRI MKUBWA WAKIUZA SUKARI HUKO MANZESE NINI KINA CHANGIA? HALI NGUMU YA MAISHA? AU UVIVU WAO TU? (by julliana)

2)WANAWAKE KUTEMBEA NUSU UCHI MCHANA KWEUPE NINI KIFANYIKE KUREKEBISHA HALI HIYO?(by fetoza)

3)Nini kifanyike ili kumkomboa mwanamke kiuchumi na manyanaso? Pia tujadili mikakati ya kumkomboa mtoto wa kike kielimu maana mtoto wa kike na wa kiume wote wanastahili elimu sawa.( by celline)

4)Kwanini Sisi wanawake wa kiafrika bado tuna imani kwamba mwanaume wapo juu yetu na tunajishusha utu wetu ilimradi tu kumfurahisha mwanaume ....(by queen)
                       wanawake juuuuuuuuuuu!!!!!!!!!

1 comments:

  1. Wanawake wengi ni waoga ndo mana wanadhani wanaume tu ndo wanaweza, hii inatokana na mila na desturi hasa enzi za mababu zetu kwamba mwanaume ndio kila kitu (kichwa cha familia) kwa sasahivi hakuna cha mwanaume wala nini, wanawake pia tunaweza hata bila ya kuwezeshwa, tunajiwezesha wenyewe. Mume atabaki kama mume na heshima yake itabaki pale pale!

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet