Thursday, 14 November 2013

KIFO CHA DR MVUNGI CHASIKITISHA SANA... 9 SUSPECTS WAMEKAMATWA



dr mvungi alifariki dunia jumanne saa 3.30 nchini south Africa. kifo chake kilikua announced kuanzia saa 4pm.DR Mvungi aliingiliwa na majambazi nyumbani kwake wakamkata mapanga na kumjeruhi kichwani kitu kilichomuacha DR kupoteza fahamu. majambazi hao walifanikiwa kuondoka na vitu vidogo vidogo kama laptop na vitu vidogo vidogo visivyo kuwa na thamani ya uhai wa binadamu pamoja na unknown amount of money zilizoachiwa na mkeo baada ya kupigwa na hao majamabazi
       Watu walioshikiriwa na mapolisi kama suspects ni Msigwa Mpopela (30), also known as Matonya, who is also leader of the group, Chibango Magozi, Ahmed Alit, a resident of Mwananyamala, Zakaria Raphael Mses (23), a resident of Buguruni Malapa and Marda Saluha (40), also known as Mr White, a resident Vingunguti.
Others are Paulo Jairos (29), also known as Ndonondo from Vingunguti, Juma Hamis (29) from Vingunguti, Longishu Sewalike (29) from Msimbazi and Masaga Makenza (41), a bodaboda operator, who resides at Kitunda. R.I.P DR MVUNGI

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet